Klabu ya Yanga itakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari baadae leo Ijumaa, Oktoba 1 2021
Mkutano utafanyika Makao Makuu ya klabu kuanzia saa tano kamili asubuhi
Kesho Wananchi wana jambo lao pale uwanja wa Benjamin Mkapa kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Geita Glod
ADVERTISE HERE