Ninja bado mgonjwa, Nadir, Mussa safi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2018
Ninja bado mgonjwa, Nadir, Mussa safi
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema mlinzi Abdallah Shaibu 'Ninja' aliyeumia kwenye mchezo wa kwanza wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Mlandege hataweza kucheza michezo iliyobaki kwani bado anasumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu.

Aidha kwa upande wa nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' aliyekuwa na malaria amepona na yuko tayari kurejea dimbani kama ilivyo kwa kinda Saidi Mussa aliyeumia kwenye mchezo uliopita dhidi ya Zimamoto.

Yanga inashuka dimbani kesho Jumatano kuivaa URA kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali kombe la Mapinduzi. Mchezo huo utaanza saa 10:30 jioni.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’