Msafara wa kikosi cha Yanga umeondoka Bukoba kurejea jijini Dar es salaam baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliopigwa jana katika uwanja wa Kaitaba
Wananchi wanarejea na alama zote tatu nyumbani baada ya ushindi wa bao 1-0 lililowekwa kambani na kiungo fundi Feisal Salum 'Fei Toto'
Siku ya Jumamosi, mabingwa hao wa kihistoria watashuka katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold





ADVERTISE HERE