Kabla ya kuianza safari ya kurejea jijini Dar es salaam, kikosi cha Yanga leo kiliingia Gym kwa ajili ya kutengeneza fitness ya wachezaji baada ya mchezo dhidi ya Kagera Sugar hapo jana
Wananchi wanarejea jijini Dar es salaam leo tayari kwa mchezo dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa Jumamosi


ADVERTISE HERE