Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga Senzo Mazingisa akiongozana na viongozi wengine waandamizi, jana walishiriki uzinduzi wa Tawi la Yanga Missenyi mkoani Kagera
Yanga wako Kagera ambapo jioni ya leo watashuka katika uwanja wa Kaitaba kuikabili Kagera Sugar katika mchezo wa kwanza wa ligi kuu






ADVERTISE HERE