Wakati akiendelea kutumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo wa fainali kombe la FA msimu uliopita, kiungo Mukoko Tonombe anaendelea na mazoezi makali kujiweka sawa
Mukoko hakusafiri na kikosi cha Yanga Kagera kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano kunako dimba la Kaitaba
Hiyo vita eneo la kiungo Yanga itakuwa hatari! Mukoko, Yannick Bangala, Khalid Aucho na Zawadi Mauya!
ADVERTISE HERE