Msafara wa kikosi cha Yanga tayari umeondoka jijini Dar es salaam kuelekea mkoani Kagera wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo utapigwa Jumatano, Septemba 29 katika uwanja wa Kaitaba



ADVERTISE HERE