Baada ya kuzima ngebe za watani mwishoni mwa wiki, kikosi cha Yanga kinaelekea mkoani Kagera ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Kagera Sugar
Mchezo huo wa kwanza msimu huu utapigwa keshokutwa Jumatano, Septemba 29 katika uwanja wa Kaitaba
Kiboko yao Fiston Mayele yuko timamu kuelekea mchezo huo ambao Wananchi wanazitaka alama zote tatu
Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2021/22 inatarajiwa kuanza leo
ADVERTISE HERE