Mkutano wa matawi Yanga ruksa kufanyika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2018
Mkutano wa matawi Yanga ruksa kufanyika
Wizara ya Mambo ya Ndani imeruhusu kufanyika kwa Mkutano wa Wenyeviti wa Matawi ya klabu ya Yanga Tanzania nzima siku mbili baada ya kuuzuia.

Juzi Jumapili maafisa wa jeshi la Polisi walivamia Makao Makuu ya Klabu ya Yanga na kuuzuia Mkutano huo uliokuwa umeanza baada ya kupata taarifa za kiintelijensia kuwa kungeibuka uvunjifu wa Amani.

Baada ya kuruhusiwa, Jeshi la Polisi limeahidi kutoa ulinzi kuhakikisha Mkutano huo unafanyika kwa Amani.

Viongozi wa Matawi ya Yanga wamekuwa na utaratibu wa kukutana kama sehemu ya kutimiza majukumu ya kuendeleza klabu ya Yanga.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
6h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
15h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’