Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara jana 'alipagawa' na ushindi dhidi ya waajiri wake wa zamani Simba
Baada ya Yanga kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Manara alikuwa muhanga wa mashabiki wa Simba kwani walimtukana na kumkashifu kila kona
Kulikuwa na kampeni kubwa ikiendeshwa kwenye mitandao ya kijamii dhidi yake kuhakikisha hapati furaha Yanga
Mwenyewe amesema ushindi wa jana, ni kisasi tosha kwa waajiri wake hao wa zamani
Hakika ilikuwa siku nzuri sana kwake...!




ADVERTISE HERE