Hongera Yanga kwa kushinda Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Sep 2021
Hongera Yanga kwa kushinda Ngao ya Jamii

Yanga imeshinda Ngao ya Jamii baada ya kuichapa Simba bao 1-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni mwanzo wa msimu na Yanga inahesabu taji la kwanza, ni mafanikio makubwa

Pamoja na kutofanya vizuri kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, Yanga imeonekana kuimarika leo ikipata ushindi huo dhidi ya Simba ambayo imekuwa na pre-season ya muda mrefu

Kauli mbiu ya 'The Return of Champions' imeanza kufanya kazi leo, Wananchi wamepania itakuwa hivyo msimu mzima

Pongezi nyingi kwa wachezaji, benchi la ufundi na viongozi kwa juhudi zao katika kuhakikisha Yanga inarejesha ufalme wake kwenye soka la Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’