Benchi la ufundi Yanga 'limenoga'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2021
Benchi la ufundi Yanga 'limenoga'

Kocha Cedric Kaze aliwasili nchini jana ambapo imeelezwa kuwa amesaini mkataba wa miaka miwili kuwa Kocha Msaidizi wa Yanga

Na wakati huohuo Mwinyi Zahera mmoja wa watu waliosukuma Mabadiliko Yanga, yuko katika viunga vya Yanga tangu wiki iliyopita

Kaze na Zahera leo waliungana na bosi Ghalib Said Mohammed 'GSM', Kocha Nasreddine Nabi na viongozi wengine waandamizi katika chakula cha mchana

Wasiempenda karudi! ni yuleyule Zahera ambaye wakati ule walimtengenezea kanuni ya mavazi....

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’