Nabi asisitiza, ushindi ni muhimu Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Sep 2021
Nabi asisitiza, ushindi ni muhimu Jumamosi

Kocha Mkuu wa Yanga Mohammed Nasreddine Nabi amesema wanapaswa kusahau matokeo ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na kuhakikisha wanaweka mkazo katika mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa Jumamosi

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari kuelekea mchezo huo, Nabi amesema mchezo dhidi ya Simba kesho sio dabi tu, bali watakuwa wakiwania kombe ambali litakuwepo uwanjani hivyo wanapaswa kushinda

"Mechi ya kesho si dabi tu,  ni mchezo wa Fainali na kombe lipo uwanjani. Ni muhimu sana kushinda. Tumejiandaa vizuri, tunatakiwa kusahau kuhusu kutolewa CAF Champions League, hii ni mechi ambayo tunatakiwa kushinda kwa sababu ndio inafungua msimu wa ligi, " alisema Nabi

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’