Leo amezaliwa Mkurugenzi wa Fedha klabu ya Yanga Haji Mfikirwa
Mfikirwa ni mmoja wa viongozi walioshiriki kikamilifu mchakato wa Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu wakati yeye akiwa Kaimu Katibu Mkuu
Pamoja na kuwa amerejea katika majukumu yake ya mwanzo, Haji ameendelea kuwa mtu muhimu katika uongozi wa Yanga akishirikiana vyema na Kaimu Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa pamoja na timu nzima ya uongozi chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla
Tunamtakia la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY HAJI
ADVERTISE HERE