Fundi Feisal Salum 'Fei Toto' amewakumbusha tu tukio lililowatokea watani zetu mwishoni mwa wiki katika ile siku yao, linaweza kujitokeza tena Jumamosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Jumamosi hii Fei Toto atakiongoza kikosi cha Yanga kwenye mchezo dhidi ya Simba, ukiwa ni mchezo wa Ngao ya Jamii
Akiwa katika kiwango cha hali ya juu, Fei Toto anabeba matumaini ya mashabiki wa Yanga kuelekea mchezo huo wa dabi
Fundi huyu hata Rivers United kule Nigeria walimuogopa. Walijaribu kufanya zengwe kupitia Covid ili asicheze lakini ikashindikana
Yanga imepania kushinda Ngao ya Jamii ili kuanza kuhesabu mataji ya msimu huu
ADVERTISE HERE