TAARIFA
Mashabiki wote ambao watapenda kwenda kushiriki mazishi ya nyota wa zamani wa Yanga, Athuman Juma Chama, bus litaondoka klabu saa 1:30 asubuhi kuelekea Yombo Dovya yalipokuwa makazi ya Marehemu.

ADVERTISE HERE