Msafara wa Yanga umerejea salama kutoka Nigeria ambako jana walikamilisha mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United wakifungwa bao 1-0
Mabingwa hao wa kihistoria wamerejea kujipanga na mashindano ya ndani ambapo mwishoni mwa wiki hii wanakabiliwa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba
Huu ni wakati wa Wananchi kuwa wamoja, kusahau yaliyopita, lengo liwe kushinda mataji yote ya ndani ili msimu ujao kurejea katika ligi ya mabingwa timu ikiwa imara zaidi
ADVERTISE HERE