Mambo yamekuwa magumu kwa Yanga baada ya kuwaruhusu Rivers United kufunga bao kwenye dakika ya 81 kupitia kwa Uche Onwuasonaja
Rivers sasa wana mabao mawili ambapo Yanga inahitaji kufunga mabao mawili ili iweze kusonga mbele
Mechi inaelekea kumalizika
ADVERTISE HERE