Maafisa wa Rivers United wametoa majibu ya uviko-19 saa moja kabla ya mchezo ambao utapigwa kuanzia saa 12 jioni kwa saa za Tanzania
Uongozi wa Yanga umegoma kupokea majibu hayo kwa sababu yameletwa nje ya muda unaopaswa
Taarifa za awali zimebainisha wachezaji wanne wamepatikana na maambukizi ya uviko-19. Djigui Diarra, Feisal Salum, Yacouba Songne, na Mukoko Tonombe
Msemaji wa Yanga Haji Manara amesema hawatakuwa tayari kushuka uwanjani katika mazingira hayo
ADVERTISE HERE