Ni mwendo wa 'figisu' tu huko Nigeria, kikosi cha Yanga kimelazimika kuvalia uwanjani baada ya Rivers United kuchelewesha funguo za vyumba vya kubadilishia nguo. Aidha imeelezwa vyumba hivyo vina giza Rivers United wakidai umeme umekatika
Mpaka timu inaingia uwanjani hakuna majibu ya vipimo vya uviko-19, benchi la ufundi limeendelea na taratibu nyingine za kukiandaa kikosi
ADVERTISE HERE