Msafara wa Yanga umewasili salama nchini Nigeria majira ya saa saba usiku kwa saa za Tanzania tayari kwa mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili
Yanga iliondoka Tanzania majira ya saa mbili usiku, ikiwa ni safari ya saa tano
Wananchi leo watakamilisha maandalizi yao ya mwisho tayari kwa mchezo huo ambao utaamua hatma ya Yanga katika michuano ya Kimataifa
Kimahesabu Yanga inahitaji kushinda ili kwa mabao kuanzia mawili ili kusonga mbele
ADVERTISE HERE