Mashabiki 48 watasafiri na timu Nigeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Sep 2021
Mashabiki 48 watasafiri na timu Nigeria

Wanachama na Mashabiki wa Yanga wametakiwa kuchangamkia fursa ya kusafiri na timu nchini Nigeria siku ya Ijumaa kwa ajili ya mchezo wa marudiano ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United

Mchezo huo utapigwa Jumapili Septemba 19, Port Harcort

Pamoja na mchezo huo kuchezwa pasipo mashabiki, Yanga imepewa nafasi kadhaa kwa ajili ya maafisa wake

Kwa watakaohitaji kusafiri wanapaswa kuwa wamewasiliana na uongozi wa Yanga kabla ya saa moja usiku leo

Gharama ya safari ni USD 1, 200 kwa daraja Economy na USD 2,200 kwa daraja la Business ikijumuisha pia vipimo vya Covid-19 Dar na Nigeria

Safari ni keshokutwa Ijumaa September 17 na kurudi ni Jumapili Septemba 19, usafiri ni Airbus A 220-300, Air Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
6h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’