Hatuihofii Singida United - Nsajigwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2018
Hatuihofii Singida United - Nsajigwa
Kocha Msaidizi wa Yanga Shedrack Nsajigwa amesema Yanga iko tayari kupamana na timu yoyote katika michuano ya kombe la Mapinduzi.

Akizungumza muda mfupi baada ya Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Zimamoto, Nsajigwa amesema benchi la ufundi la Yanga limekuwa likibadili wachezaji kwenye kila mchezo ili kuhakikisha wanakuwa timilifu.

Licha ya kukiri kwamba Singida United ni timu nzuri, Nsajigwa amesema Yanga imejipanga kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa kufunga hatua ya makundi baina ya timu hizo kesho Jumatatu.

Kama ilivyo Yanga, Singida United imeshinda michezo yake yote iliyocheza katika hatua ya makundi na kujikusanyia alama 12 ikitofautiana na Yanga kwa mabao tu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
4h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
9h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’