Changamkia fursa ya kusafiri na timu Nigeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Sep 2021
Changamkia fursa ya kusafiri na timu Nigeria

Mabingwa wa Kihistoria Tanzania, Yanga wanawaalika Wanachama wapenzi na Mshabiki kujumuika pamoja katika safari ya kwenda kupindua meza Kibabe huko Nigeria.

Gharama ya safari ni USD 1, 200 kwa daraja la Economy na USD 2,200 kwa daraja la Business ikijumuisha pia vipimo vya Covid-19 Dar na Nigeria.

Safari ni Ijumaa September 17 na kurudi ni Jumapili Septemba 19, usafiri ni Airbus A 220-300, Air Tanzania.

Wahi sasa nafasi ni chache, twende tukapindue meza Kibabe.

Kwa mawasiliano zaidi piga 0776000002

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’