Nendeni mkaionyeshe Afrika ukubwa wenu - Manara

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Sep 2021
Nendeni mkaionyeshe Afrika ukubwa wenu - Manara

Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amewataka wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Rivers United kuhakikisha wanaibuka na ushindi mnono ili kuionyesha Afrika kuwa wao ndio timu kubwa zaidi Tanzania

Katika msimu huu Yanga imedhamiria kushinda kila taji la ndani huku ikipania kuvuka hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa

Manara amesema waingie uwanjani leo kwa lengo moja tu, kuonyesha dhamira waliyoiweka katika msimu huu

"Nendeni mkaionyesha Africa nyinyi ndio timu kubwa nchi hii. Nendeni mkawaambie Watanzania uwanjani kile mlichodhamiria msimu huu. Nendeni mkatimize matarajio ya Wanayanga jioni ya leo. Tunawaamini na Insha'Allah MTASHINDA JIONI YA LEO," aliandika Manara katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Huu ni mchezo wa heshima kwa Yanga, ni mchezo wa kuitangazia Afrika kuwa mbabe halisi wa soka la Tanzania amerejea katika medani za Kimataifa

Ni saa 11 jioni pale uwanja wa Benjamin Mkapa. Kuna msemo maarufu 'Afe kipa, Afe beki', Rivers United lazima akae...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’