Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili katika uwanja huo
Wananchi wako tayari kuwapa furaha mashabiki Jumapili, hao Rivers United wasubiri 'kichapo' tu









ADVERTISE HERE