Yanga yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Rivers United

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Sep 2021
Yanga yatangaza viingilio mchezo dhidi ya Rivers United

Ni habari njema kwa Wananchi kuwa Mashabiki watapata fursa ya kuiongezea nguvu timu yao katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa keshokutwa Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa, saa 11 jioni

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo kuwa VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/-, VIP C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Yanga ilikuwa ikisubiri ruhusa ya CAF na idadi ya mashabiki ambao wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo huo

Sasa nafasi imepatikana na hakuna idadi rasmi ya mashabiki iliyotajwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’