Shirikisho la soka Afrika, limetoa orodha ya Makocha ambao hawana vigezo hivyo hawaruhusiwi kukaa kwenye bench la timu zao katika michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho msimu huu
Makocha wenye vigezo ni wale wenye leseni za CAF A au UEFA PRO LICENCE
Orodha ya makocha wasio na sifa;
1. Didier Gomes (UEFA A Diploma), Simba SC
2. Erradi Mohamed Adil (UEFA Advanced Diploma), APR
3. Bosa Wasswa (CAF B), Express FC (atabadilishwa)
4. Diego Garzitto (UEFA A), El Merreich SC
5. Comlan Mathias (German License), ESAE FC
6. Pascal Lafleurial (UEFA Elite Youth A), DFCB
7. Roque Sapir (CAF C Diploma), GD Sagrada Esperanca
8. Ame Khamis (CAF B), KMKM
9. Abalo Jean-Paul (UEFA A), ASKO
ADVERTISE HERE