Mkutano wa Matawi Yanga wazuiwa na Polisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2018
Mkutano wa Matawi Yanga wazuiwa na Polisi
Jeshi la Polisi jijini Dar es salaam limezuia mkutano wa viongozi wa matawi ya klabu ya Yanga uliokuwa ukifanyika Makao Makuu ya klabu, Jangwani.

Kulingana na taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi juu ya zuio la Mkutano huo ni kuwepo taarifa za kiintelijensia juu ya hofu ya kutokea uvunjifu wa Amani.

Mkutano huo ulisitishwa wakati wajumbe wakiwa tayari wameketi kuanza ajenda za kikao.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’