Fiston aibukia Morocco

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Sep 2021
Fiston aibukia Morocco

Baada ya mkataba wake wa miezi sita na Yanga kumalizika huku akishindwa kuwashawishi Wananchi, mshambuliaji Fiston Abdulrazak ametua nchini Morocco akijiunga na Khouribga Fc inayoshiriki ligi kuu

Fiston amesajiliwa na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili

Wakati anasajiliwa na Yanga katika dirisha dogo la usajili mwezi January, wengi walikuwa na matumaini makubwa kwake kutokana na kuwa na 'profile' nzuri katika klabu alizopita

Nafasi yake katika kikosi cha Yanga imechukuliwa na Fiston Mayele aliyesajiliwa kutoka klabu ya AS Vita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
17h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
22h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
2d ago
READ MORE β†’