Saa mbili na robo usiku kikosi cha Yanga kitaikabili timu ya Zimamoto katika mchezo wake wa nne wa kombe la Mapinduzi.
Yanga tayari imekata tiketi ya kutinga nusu fainali lakini inahitaji kushinda mchezo huo kwa mabao mengi ili kuiondoa kileleni Singida United.
Jana Singida United iliilaza JKU mabao 2-0 hivyo kufikisha alama 12 na mabao +8 ikiiacha Yanga nafasi ya pili ikiwa na alama 9 na mabao +4.
Ushindi wa zaidi ya mabao manne utaipeleka Yanga kileleni kabla ya mchezo wa mwisho dhidi ya vijana hao wa Pluijm

ADVERTISE HERE