Zoezi la kusaka vipaji lililoanza jana litafikia tamati leo uongozi wa Yanga umewaasa wazazi wenye watoto wanaosakata kabumbu walio chini ya umri wa miaka 15 wafike uwanja wa Karume kuanzia saa tisa mchana.
Kumekuwa na mwitikio mkubwa, bila shaka zoezi hilo litafanikiwa.

Moja ya silaha ya mafanikio kwa timu yoyote ya soka ni kuwa na timu imara za vijana.
Uongozi wa Yanga unastahili pongezi kwa kuanzisha utaratibu huu ambao utakuwa na manufaa makubwa kwa klabu siku za usoni.

ADVERTISE HERE