Rivers United wapo Dar, Yanga yawashtukia

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2021
Rivers United wapo Dar, Yanga yawashtukia

Imeelezwa klabu ya Rivers United imetua nchini kimyakimya kuelekea mchezo wa hatua ya awali dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumapili ijayo, Septemba 12 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Maafisa wa timu hiyo walishawasili mapema na wamekuwa wakiifanyia Yanga ushushu

Hata hivyo Yanga imewashtukia ambapo Afisa Habari Hassan Bumbuli amesema watu hao wapo Dar es Salaam na wamekuwa wakiwafuatilia, lakini nao wamekuwa makiniΒ 

Bumbuli alisema kutokana na umakini walionao ndiyo maana wamekuwa hawachezi mechi za wazi ambazo mashabiki au kila mtu atakwenda kuziangalia, ili kuepuka mashushushu hao kusoma mbinu za kocha wao Nasreddine Nabi.

"Tumegundua kuwa wenzetu wameleta mashushushu wao. Lengo lao ni kutupeleleza, tupo vipi, waangalie mechi zetu ili kujua udhaifu wetu uko wapi. Lakini hili tumeligundua," alisema

Yanga ambayo ilicheza mechi kwenye kilele cha Wiki ya Wananchi Agosti 29, imecheza mechi zake mbili bila mashabiki dhidi ya Friends Ranger na kushinda mabao 3-1, lakini juzi ilicheza dhidi ya Pan African na kuichapa bao 1-0.

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’