Manara, Kishamba wamaliza tofauti

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Sep 2021
Manara, Kishamba wamaliza tofauti

Jana Afisa Mhamasishaji wa Yanga Haji Manara alianza rasmi majukumu yake, akikabidhiwa ofisi pamoja na vitendea kazi

Ikawa ziku nzuri ambapo alipata wasaa wa kuonana na kumaliza tofauti zilizowahi kujitokeza na Mwanahabari Prisca Kishamba

Manara aliingia kwenye mgogoro na Mwanahabari huyo wakati akiwa klabu ya Simba

Hata hivyo huku Yanga amani imetamalaki kila kona, Manara hatakuwa na kikwazo kufanya kazi na Wanahabari wote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’