Wananchi wanaendelea kujifua Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Jumapili Septemba 12 uwanja wa Benjamin Mkapa
Ni mchezo ambao Yanga inahitaji kupata ushindi mnono ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga raundi ya kwanza
Hii ni wiki ya lala salama kwa maandalizi kuelekea mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa 11 jioni



ADVERTISE HERE