Njooni kwa wingi tuwajaze - Makambo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Sep 2021
Njooni kwa wingi tuwajaze - Makambo

Mshambuliaji wa Yanga Heritier Makambo, amewaalika mashabiki wa timu hiyo wajitokeze kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa Jumapili ijayo katika mchezo wa hatua ya awali ligi ya mabngwa dhidi ya Rivers United

Makambo amesema shabiki ni mchezaji wa 12 hivyo wanapaswa kufurika uwanjani siku hiyo ili kuhakikisha Wananchi wanaondoka na ushindi mnono

"Mashabiki mje kwa waingi siku ya jumapili tar 12,tuje kuwajaza kwa pamoja mkumbuke ninyi ni wachezaji wa 12 uwanjani," alisema Makambo

Uongozi wa Yanga umewaweka sawa mashabiki kuujaza uwanja wa Mkapa siku ya Jumapili kama walivyofanya katika mchezo wa kilele cha wiki ya Mwananchi August 29

Mchezo dhidi ya Rivers United utapigwa kuanzia saa 11 jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’