Unaambiwa uzi wa Yanga uligombaniwa kama njugu ndani ya siku tatu ukawa umepotea maduakani. Sio kwamba mzigo ulikuwa mdogo, la hasha! ni kwa sababu ubora wake ulipelekea kila Mwananchi kutamani kuwa nao baada ya uzinduzi tu
Bado Yanga inaendeleza kukimbiza kwenye mauzo ya uzi huo ambao thamani yake sio chini ya Tsh 35,000/-
Huku kwenye jezi mfalme ni mmoja tu, GSM hao wengine wana safari ndefu sana










ADVERTISE HERE