Uongozi wa klabu ya Yanga umeachana na aliyekuwa Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz ambaye mkataba wake wa miaka miwili, umemalizika
Taarifa iliyotolewa na Yanga imebainisha kuwa Juma Khatib Nugaz amemaliza mkataba na uongozi umeamua kutomuongeza mkataba mwingine
Yanga imemshukuru kwa utumishi wake wa miaka miwili
ADVERTISE HERE