Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Dk Mshindo Msolla, imeunda Kamati Mpya ya Mashindano yenye Wajumbe 8
Rodgers Gumbo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo inayoundwa na Wajumbe Hamad Islam, Lucas Mashauri, Abdallah Bin Kleb na Davis Mosha
Wengine ni Seif Magari, Injinia Hersi Said, Pelegrinius Rutayunga na Arafat Said
ADVERTISE HERE