Molinga karudi Tanzania, atua Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2021
Molinga karudi Tanzania, atua Namungo Fc

Mshambuliaji wa zamani wa Zesco United na Yanga, David Molinga amesajiliwa na klabu ya Namungo Fc

Baada ya kutemwa na Yanga kuelekea msimu uliopita, Molinga alitimkia Zambia ambako alisajiliwa na Zesco United

Katika msimu wake mmoja na Zesco United, Molinga alifunga mabao saba katika mashindano yote

Wakati akiitumikia Yanga, Molinga alifunga mabao 13 katika mashindano yote

Namungo pia imewasajili nyota wengine waliowahi kupita Yanga Mohammed Issa 'Banka', Abdulaziz Makame na Obrey Chirwa

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’