Djigui arejea Mali kwa majukumu ya timu ya Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Aug 2021
Djigui arejea Mali kwa majukumu ya timu ya Taifa

Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amerejea Mali kujiunga na timu ya Taifa ambayo kesho itashuka dimbani kuikabili Rwanda katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali za kombe dunia 2022

Baada ya kumalizika kwa tukio la kilele cha Wiki ya Wananchi, wachezaji walioitwa na timu zao za Taifa, waliruhusiwa 

Wachezaji wengine ambao wameondoka kwa ajili ya majukumu ya timu za Taifa ni Mukoko Tonombe (DR Congo) huku Khalid Aucho yeye akishindwa kushiriki tukio hilo baada ya kutakiwa mapema na timu ya Taifa ya Uganda

Wachezaji wengine ni Ramadhani Kabwili, Dickson Job, Bakari Nondo Mwamnyeto, Zawadi Mauya na Feisal Salum

Wachezaji hao wanatarajiwa kurejea Septemba 08 kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Rivers United ambao utapigwa Septemba 12

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’