Mama Mukoko alikuwepo uwanjani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2021
Mama Mukoko alikuwepo uwanjani

Mama wa kiungo Mukoko Tonombe alikuwepo uwanjani jana kumuunga mkono kijana wake katika siku kubwa ya kilele cha wiki ya Mwananchi

Mukoko alikuwa sehemu ya kikosi kilichocheza mechi dhidi ya Zanaco Fc akicheza kwa kipindi kimoja

Wakati wa mapumziko akatangazwa kuwa mchezaji bora wa msimu uliopita akikabidhiwa tuzo yake sambamba na wachezaji Yacouba Songne aliyekuwa mfungaji bora na Kibwana Shomari aliyeshinda tuzo ya mchezaji bora kijana

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’