Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara atakuwa miongoni mwa 'Ma-MC' watakaosimamia tukio la kilele cha wiki ya Mwananchi pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Manara anatarajiwa kushirikiana na Ma-Mc wengine Maulid Kitenge, Dakota na Antonio Nugaz
Utambulisho wa kikosi na benchi la ufundi ndio kazi atakayoisimamia Manara
Katika utambulisho huo imeelezwa kutakuwa na sapraizi, Manara mwenyewe akitamba kuwa kuna watu atawapiga 'gumi la roho'
Acha awakereeeee...!
ADVERTISE HERE