Wananchiiiiii, tukutane kwa Mkapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Aug 2021
Wananchiiiiii, tukutane kwa Mkapa

Leo ndio ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na wapenzi, wanachama na  mashabiki wa klabu ya Yanga

Ni kilele cha wiki ya Mwananchi, shamrashamra zikifanyika pale uwanja wa Benjamin Mkapa

Mageti ya uwanja wa Mkapa yatafunguliwa mapema tu, kuanzia saa tatu asubuhi

Kutakuwa na burudani za aina mbalimbali, wasanii wa muziki wa bongo fleva, bongo movies na kubwa zaidi ni burudani kutoka kwa Mwanamuziki Koffi Olomide

Kabla ya utambulisho wa timu na benchi la ufundi, kutakuwa na mechi za utangulizi kutoka timu za maveterani na kikosi cha vijana wa U20

Mechi kubwa inayobeba siku hii kati ya Yanga dhidi ya Zanaco itapigwa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’