Mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra amepata msiba mkubwa kwa kufiwa na baba yake mzazi
Diarra amethibitisha taarifa hiyo akiwa nchini Mali ambako amerejea kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa
Tunampa pole Djiugui kwa msiba aliopata, Mwenye ez Mungu ampe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
ADVERTISE HERE