Kikosi cha Zanaco Fc tayari kimewasili nchini kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi hapo kesho Jumapili
Zanaco watacheza na Yanga baada ya utambulisho wa kikosi pale uwanja wa Benjamin Mkapa
Wababe hao wa soka kutoka Zambia, wamekuja nchini na kikosi cha wachezaji 20
Kikosi chao kinamjumuisha winga hatari wa timu hiyo Moses Phiri
ADVERTISE HERE