Wachezaji wa Yanga waliokuwa wamebaki nchini Morocco, tayari wameanza safari ya kurejea Tanzania kuwahi tukio la kilele cha wiki ya Mwananchi litakalofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa, Jumapili, August 29
Wachezaji hao wanarejea Tanzania kupitia Dubai ambapo watawasili jijini Dar es salaam mchana wa kesho Jumamosi
Ujio wao unazima uzushi uliokuwa umesambazwa mitandao ya kuwa badhi ya wachezaji wamekutwa na maambukizi ya virusi vya korona na kuwa wamewekwa karantini huko Morocco kwa muda wa siku 14!

ADVERTISE HERE