TFF yawasimamisha Chirwa, Sabianka

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Jan 2018
TFF yawasimamisha Chirwa, Sabianka
Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa ligi, imemsimamisha mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa pamoja na kiungo wa Tanzania Prisons, Lambart Sabianka kwa muda usiojulikana.

Wachezaji hao, wameadhibiwa kutokana na kosa la utovu wa nidhamu, walilolifanya kwenye mechi kati ya Tanzania Prisons na Yanga, iliyochezwa Novemba mwaka jana .

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Boniface Wambura amesema, Chirwa pamoja na kiungo wa Prisons, Lambart Sabianka shauri lao limepelekwa kwenye kamati ya nidhamu ambayo itatolea uamuzi.

"Kamati baada ya kupitia ripoti ya kamishna wa mchezo, imebaini kwamba Chirwa na Sabianka wamefanya makosa ambayo yanakwenda kinyume na kanuni ya udhibiti na usimamizi wa wachezaji.

"Hivyo imeamua kuchukua uamuzi wa kuwasimamisha na kuwapeleka kwenye kamati ya nidhamu," amesema Wambura.

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’