Kihamia awashangaa waliomzushia kujiuzulu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Aug 2021
Kihamia awashangaa waliomzushia kujiuzulu

Juzi baada ya Haji Manara kutambulishwa kujiunga na Yanga, zikaibuliwa taarifa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Athumani Kihamia amejiuzulu kupinga ujio wa Manara

Kihamia amekanusha kujiuzulu, akieleza kushangazwa na taarifa hiyo akisisitiza kuwa kama kuna mtu anatamani kuona anajiuzulu, asahau

"Kuna habari zinasambaa wanasema nimejiuzulu, sijajiuzulu na nimetuma hiyo picha yangu nikiwa na Manara ni mimi niliyeituma kuonesha kwamba sijajiuzulu, kama kuna mtu anataka nijiuzulu sasa hivi asahau sana sana tarehe 29 Jumapili wataniona uwanjani hapo kwa lengo moja tu Siku ya Wananchi,  itafana vilivyo," alisema Kihamia

Kihamia anaendelea kushirikiana na viongozi wenzake Yanga kuhakikisha Wiki ya Mwananchi inafana siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’