Shoo nzima itabebwa na Papa Koffi Olomide lakini pia kutakuwa na birudani ya kutosha kutoka kwa wasanii wa ndani
Wakali wa Bongofleva Babalevo, Gnako, Bilnas, Shilole watauwasha moto kwelikweli siku hiyo
Lakini pia mkali wa Singeli, Mzee wa Bwax atakuwepo siku hiyo kuwapa burudani Wananchi
Wenyewe wanasema historia itaandikwa pale uwanja wa Benjamin Mkapa






ADVERTISE HERE